Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Pakiwashinda kimbilieni CCM Bado wanaohitaji wanachamaFikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake.
Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea.
Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kug'oka.
Hatuna legimacy kudai katiba mpya.
Hili ni tatizo kubwa.Ni kweli kabisa maana katiba ya chama inamtambua mwenyekiti kama mfalme au sultan maana hana ukomo
Ngoja wajeje ntakunywa sumu juu yake!Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake.
Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea.
Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kug'oka.
Hatuna legimacy kudai katiba mpya.
Pakiwashinda kimbilieni CCM Bado wanaohitaji wanachama

Acha hasira, kubali ukweli tubadilikeAu NCCR kwa mama Tanzania
Pakiwashinda kimbilieni CCM Bado wanaohitaji wanachama
Pakiwashinda kimbilieni CCM Bado wanaohitaji wanachama
Pakiwashinda kimbilieni CCM Bado wanaohitaji wanachama
Pakiwashinda kimbilieni CCM Bado wanaohitaji wanachama
Usiingie chaka huyo ni Mataga, hajui kuwa Katiba ya Nchi ndio inaowagusa Watanzania wotePakiwashinda kimbilieni CCM Bado wanaohitaji wanachama
Mpumbavu Asiyechoka.Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake.
Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea.
Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kug'oka.
Hatuna legitimacy kudai katiba mpya.