Katiba ya Chama chetu haifai na hatuna legitimacy kudai katiba mpya ya JMT

Kweli,kuna ulazima wa kufanya marekebisho ya ndani kwanza ili ikitokea imepatikana nafas ya kuongoza na nje yasijeyakajirudia ya sisi em
 
Una bidii sana.CCM watakupa nafasi punde
 
Ukaolewe na Mbowe upunguze stress
 
Tuoneshe hiko kifungu cha Katiba...kinachompa MWENYEKITI WENU hayo mamlaka.... USIPOKIONESHA UTAKUWA HUNA TOFAUTI NA MALAYA
 
Anajiweka mwenyewe au anachaguliwa na wanachama?
 
Huyu famba asiechoka ni yule yule aliekuwa akimsifia meko hata afanye madudu kiasi gani, ni huyu huyu aliekuwa anawaona kina chalamila na kina sabaya kuwa ndio wazalendo wa nchi hii. Takataka hii hii ndio ilikuwa inataka meko aongezewe muda, Mungu akaona isiwe sababu akafyekelea mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…