Pre GE2025 Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi katika ibara ya 40 inamruhusu Rais Samia kugombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Tuyaeewe maandiko ,binafsi sio mfuasi wa hao CCM lakini ukisoma vizuri ibara ya 40 inamruhusu mama Samia kugombea 2025 tuache upotoshaji

Rais Samia kakaa ofisi zaidi miaka 3 hivyo haruhusiwi kugombea 2030 ila kwa kipindi kimoja 2025 anaruhisiwa

Soma Pia: Naombeni kujulishwa kifungu kinachomruhusu Rais Samia kugombea Urais 2025
Screenshot_20241002-183020~2.png
 
Attachments

kwamba kuna watu wana dhani kuwa hawezi gombea 2025?

nadhan 2030... hataweza gombea
 
Tuyaeewe maandiko ,binafsi sio mfuasi wa hao CCM lakini ukisoma vizuri ibara ya 40 inamruhusu mama Samia kugombea 2025 tuache upotoshaji

Rais Samia kakaa ofisi zaidi miaka 3 hivyo haruhusiwi kugombea 2030 ila kwa kipindi kimoja 2025 anaruhisiwa

Soma Pia: Naombeni kujulishwa kifungu kinachomruhusu Rais Samia kugombea Urais 2025
View attachment 3113373
Unanzisha porojo za uongo halafu unazitolea ufafanuzi. Kwani kuna watu walisema katiba hairuhusu Samia kugombea 2025? Watu wanasema uwezo wake ni mdogo hivyo aondolewe na awekwe mwenye uwezo.
 
Back
Top Bottom