Katiba ya kampuni na article of association

Katiba ya kampuni na article of association

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
653
Reaction score
824
Habari
Naomba msaada kwa mtu yeyote mwenye soft copy ya katiba ya kampuni sample na article of association. Naomba kama mtu anayo anitumie. Hata aki upload hapa sio mbaya
Inaweza kuwa ya kiswahili au kingeleza ambayo imeandikwa kwa kutumia sheria za tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu angalia kwenye Company law cap 212. Iko appended
 
Back
Top Bottom