Katiba ya mwaka 1977 ndo ilianzisha uchawa kwa kumpa Rais madaraka makubwa sana

Katiba ya mwaka 1977 ndo ilianzisha uchawa kwa kumpa Rais madaraka makubwa sana

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Katiba ya mwaka 1977 iliasisiwa na Nyerere kwenye ile katiba ambayo mpaka leo tunaitumia imempa Rais madaraka makubwa sana na kumfanya kama Mungu mtu

Rais wa Tanzania anaweza fanya almost jambo lolote lile na katiba imemuhakikishia hatastakiwa hata akimalaiza mda wake

Uchawa tokea zamani ulikuwepo sasa hivi umeonekana ni maarufu kwa sababu ya ukuaji wa technology ila ulikuwepo sana tu

Tanzania ukitaka uwe na maisha mazuri wewe msifie sana mtawala kama akikuona basi technically unanafasi kubwa sana ya kukutoa mahali ulipo na akakupa nafasi
 
Tukutane tar29
FB_IMG_17612069128372248.jpg
 
Back
Top Bottom