Katiba ya nchi ya akina Muliro, Chalamila na genge lao inasema maandamano ni kosa la jinai

Katiba ya nchi ya akina Muliro, Chalamila na genge lao inasema maandamano ni kosa la jinai

Screenshot_20251010-125354.jpg
 
Una utoto mwingi na ndio maana mambo yenu hayafanikiwi. Jiulize tu mwenyewe je ni sahihi kufanya maandamano siku ya zoezi la kupiga kura?

Kama utaratibu unasema maandamano yanatakiwa kuombewa kibali ili kujiridhisha na usalama ,ungekuwa wewe ungetoa kibali Cha maandamano siku ya kupiga kura?

Tafsiri ya yote maandamano yanayopangwa kufanyika siku ya zoezi jingine lililopangwa yanalengo lisilo zuri na ni maandamano yasiyo na sifa wala vigezo.

Kwa sababu hiyo aloyepanga maandamano siku hiyo kakosea sana tena na watu wataumia na kufa kwa ujinga wa watu wachache. Marekani penyewe uchaguzi unaheshikiwa sana Leo watu waandamane waachwe , Hilo haliwezekani kabisa
 
Back
Top Bottom