Katiba ya SACCOS

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
72
Wakuu tunataka kufanya group yetu ya WHATSAPP kuwa SACCOS hivyo nahitaji mwenye DRAFT ya Katiba anitumie inbox ili niifanyie editing ready for use.
 
Kisheria haitwi katiba bali Masharti ya SACCOS. Nakushauru mtafute Afisa Ushirika wa eneoi lako atakusaidia kuiandaa. Atakuelekeza hatua za kufuata ili muianzishe na kuisajili.

Ni wazo zuri ila fuatilia kuihalalsha. Whatsup sijui kama itakidhi takwa la mfungamano wa wanachama(Common bond).
Wengi wanaanzisha SACCOS kwa mtindo unaousema mdhara ni kufanana kila kitu ,unarithi hadi kasoro za ulikonukuu,zingatia matakwa ya mnaoanzisha.

Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…