Kisheria haitwi katiba bali Masharti ya SACCOS. Nakushauru mtafute Afisa Ushirika wa eneoi lako atakusaidia kuiandaa. Atakuelekeza hatua za kufuata ili muianzishe na kuisajili.
Ni wazo zuri ila fuatilia kuihalalsha. Whatsup sijui kama itakidhi takwa la mfungamano wa wanachama(Common bond).
Wengi wanaanzisha SACCOS kwa mtindo unaousema mdhara ni kufanana kila kitu ,unarithi hadi kasoro za ulikonukuu,zingatia matakwa ya mnaoanzisha.
Karibu.