Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Katiba ya Warioba ilikwama kwa sababu mbili;
Moja: Masharti ambayo utekelezaji yanahitaji mapato mengine.
Pili: Masharti ya muungano ambayo CCM isiyoweza vumilia isipokuwa kwenye kuvunja muungano tu.
Katiba ya Samia: Wala usipoteze muda wako; yote ya awali ndio yale yale. Ziada ni yeye kaongopewa na Othman Mathoud anaweza fanya kwa nadhifa yake.
Hayo mambo hayatotokea na CCM watayazuia bara na visiwani kwa namna yoyote.
Muhimu kwa Rais Samia ni kujifunza anaweza kudhani CCM ni vipofu kwa agenda yake ya katiba wanayoitaka na Othman Masoud; ngoja aone watakavyo mmbadilikia huko mbele.
Watch this space kwenye maswala ya kudhoofisha muungano; ndani ya katiba.