Rolandi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 919 Reaction score 490 Jan 5, 2014 #1 Inavyoelekea katiba ya tanzania itakamilika kabla ya ya tanganyika. Si ilibidi katiba ya tanganyika na zanzibar ziwe na vipengele vya kuukubali muungano kwanza halafu muungano ndio ufuate.? Au?
Inavyoelekea katiba ya tanzania itakamilika kabla ya ya tanganyika. Si ilibidi katiba ya tanganyika na zanzibar ziwe na vipengele vya kuukubali muungano kwanza halafu muungano ndio ufuate.? Au?
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jan 5, 2014 #2 Hilo nalo ajabu la 8 la dunia!
Kocho Senior Member Joined Jun 5, 2013 Posts 120 Reaction score 21 Jan 6, 2014 #3 ccm @ work eti katiba huu c ni waraka wa warioba na genge lake la ccm
Rolandi JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 919 Reaction score 490 Jan 8, 2014 Thread starter #4 Lambardi said: Hilo nalo ajabu la 8 la dunia! Click to expand... Wanaharakisha mambo tu!