Katiba ya tanganyika kuridhia muungano?

Katiba ya tanganyika kuridhia muungano?

Rolandi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Posts
919
Reaction score
490
Inavyoelekea katiba ya tanzania itakamilika kabla ya ya tanganyika. Si ilibidi katiba ya tanganyika na zanzibar ziwe na vipengele vya kuukubali muungano kwanza halafu muungano ndio ufuate.? Au?
 
ccm @ work eti katiba huu c ni waraka wa warioba na genge lake la ccm
 
Back
Top Bottom