Katiba ya Tanzania haizuii Rais na Makamu wake kuwa dini moja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Kwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko

Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda ndio tunaweza kujadili Upemba wa Ndejembi A.K.A Naniliu
 
Kwani wanatokea wote upande moja???Ndejembi si ni Dodoma
 
Kwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko

Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda ndio tunaweza kujadili Upemba wa Ndejembi A.K.A Naniliu
Kwani Ndejembi ni mkristo wa dhehebu ipi? Ktk vt vya hovyo ni kufuatulia hizi dini zilizoletwa kwa mashua.
 
Tuache udini please. Na ndio kete anayotumia Samiah kugawa watu
 
Hiyo ya Mpemba ni upande wa Mama Yake , au na Baba Naye ???
Kuna mikoa ambayo mtoto anachukua ukoo wa mama na mingine mtoto ni uko wa baba

1. Mikoa Ambayo Kimila "Mtoto ni wa Mama" (Matrilineal System)​

Katika maeneo haya, ukoo, urithi, na umiliki wa mtoto hufuata upande wa mama (upande wa wajomba). Ukioa mwanamke kutoka jamii hizi, watoto wanaozaliwa huhesabiwa kuwa wa ukoo wa mama yao, na mjomba (kaka wa mama) ndiye mwenye sauti kubwa juu ya malezi, mahari, na maamuzi ya watoto.
Mikoa hii inajumuisha zaidi Ukanda wa Pwani, Kusini, na baadhi ya maeneo ya Kati:

​

  • Morogoro: (Jamii za Waluguru, Wakutu, na Wakaguru).
  • Pwani na Dar es Salaam: (Jamii za Wazaramo, Wakwere, Wandengereko, na Wamiiza).
  • Lindi na Mtwara: (Jamii za Wamakonde, Wayao, na Wamakua).
  • Ruvuma: (Jamii za Wawayao na Wanyasa - sehemu za wilaya za Tunduru na Nyasa).
  • Dodoma & Singida: (Baadhi ya maeneo ya jamii za Wagogo na Warangi yana athari za mfumo huu katika masuala ya kimila).

2. Mikoa Ambayo Kimila "Mtoto ni wa Baba" (Patrilineal System)
Katika maeneo haya, mfumo ndio unaotawala kwa kiasi kikubwa nchini Tanzania. Ukoo, jina, na urithi wa mtoto hufuata upande wa baba. Mahari inapotolewa, watoto wote wanaozaliwa katika ndoa hiyo ni mali ya ukoo wa baba.

Mikoa hii inajumuisha maeneo ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa, Magharibi, na Nyanda za Juu Kusini:

  • Kanda ya Ziwa (Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Simiyu, Shinyanga): (Wasukuma, Wanyambo, Waya, na makabila ya Mara kama Wakurya, Wajaluo, na Wazanaki).
  • Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha, Manyara): (Wachaga, Wamasai, Wameru, Waparakuyo, na Wambulu/Wairaqw).
  • Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora): (Waha, Wanyamwezi, na Wasumbwa).
  • Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Rukwa, Katavi): (Wakyusa, Wahehe, Wabena, Wafipa, na Wakinga).
Kwa msaada wa AI
 
Sijui lolote mkuu nimeandika tu
kuna maeneo ya jamhuri yetu wasioyokua watanzania waafrika wanapenya kutekeleza ndoto zao kua wabunge. Wahindi waarabu ndipo wanapitia kuingia bungeni kulinda maslahi ya tabaka lao la bwanyenye wafanya biashara. Maeneo ya dodoma singida na tabora wanatoa wali na kuhonga vihela wanapata ubunge kirahisi. Huyu Ndejembi nina shaka kama ni pandikizi na Samia anajua kwa kua hata yeye ni pandikizi. Ngoja tuone kama atakua chawa na muelekeo wake tutaelewa mara moja tu.
 
Kuna mikoa ambayo mtoto anachukua ukoo wa mama na mingine mtoto ni uko wa baba

1. Mikoa Ambayo Kimila "Mtoto ni wa Mama" (Matrilineal System)​

Katika maeneo haya, ukoo, urithi, na umiliki wa mtoto hufuata upande wa mama (upande wa wajomba). Ukioa mwanamke kutoka jamii hizi, watoto wanaozaliwa huhesabiwa kuwa wa ukoo wa mama yao, na mjomba (kaka wa mama) ndiye mwenye sauti kubwa juu ya malezi, mahari, na maamuzi ya watoto.
Mikoa hii inajumuisha zaidi Ukanda wa Pwani, Kusini, na baadhi ya maeneo ya Kati:

​

  • Morogoro: (Jamii za Waluguru, Wakutu, na Wakaguru).
  • Pwani na Dar es Salaam: (Jamii za Wazaramo, Wakwere, Wandengereko, na Wamiiza).
  • Lindi na Mtwara: (Jamii za Wamakonde, Wayao, na Wamakua).
  • Ruvuma: (Jamii za Wawayao na Wanyasa - sehemu za wilaya za Tunduru na Nyasa).
  • Dodoma & Singida: (Baadhi ya maeneo ya jamii za Wagogo na Warangi yana athari za mfumo huu katika masuala ya kimila).

2. Mikoa Ambayo Kimila "Mtoto ni wa Baba" (Patrilineal System)
Katika maeneo haya, mfumo ndio unaotawala kwa kiasi kikubwa nchini Tanzania. Ukoo, jina, na urithi wa mtoto hufuata upande wa baba. Mahari inapotolewa, watoto wote wanaozaliwa katika ndoa hiyo ni mali ya ukoo wa baba.

Mikoa hii inajumuisha maeneo ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa, Magharibi, na Nyanda za Juu Kusini:

  • Kanda ya Ziwa (Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Simiyu, Shinyanga): (Wasukuma, Wanyambo, Waya, na makabila ya Mara kama Wakurya, Wajaluo, na Wazanaki).
  • Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha, Manyara): (Wachaga, Wamasai, Wameru, Waparakuyo, na Wambulu/Wairaqw).
  • Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora): (Waha, Wanyamwezi, na Wasumbwa).
  • Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Rukwa, Katavi): (Wakyusa, Wahehe, Wabena, Wafipa, na Wakinga).
Kwa msaada wa AI
Mbeya na hasa Kyela mtoto ni upande wa mama, kwa Mfano jina la Ukoo la Mama kama ni Mwankusye, basi huo ndio utakuwa ubini wa watoto hata kama baba anaitwa Mwakyusa
 
Lakini kama Taifa Mtoto ni wa Visiwani au Bara
 
History inazidi kumkataa MAKAMO NDEJEMBI😔
 
Kwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko

Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda ndio tunaweza kujadili Upemba wa Ndejembi A.K.A Naniliu
Kwa hiyo dodoma iko pemba. Hovyo
 
Kwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko

Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda ndio tunaweza kujadili Upemba wa Ndejembi A.K.A Naniliu
Mimi nitachangia mada yako bila ya kujali aho akina Ndejembi na ukatoloki wao au uislam wao.

Kwanza ni nani aliyesema ngazi hizo za uongozi zitazamwe kwa kigezo cha aina yoyote,ya udini, ukabila, urefu, ufupi, n.k.?
Ukimpata anayeeneza upumbavu huo, ujue huko ndiko kuliko na matatizo

Takwa la muhimu ni la kuwa mTanzania ; na awe mtu mwenye akili timamu, basi.

Tumefikishwa hapa leo kama taifa, hadi kupangiana zamu za udini wa mtu kuwa kiongozi?
Huu upumbavu nani anayeuendekeza, hujui?

Watu wanateuana, hawatazami uwezo wa uwezo wa mtu katika nafasi anayoteuliwa, bali dini yake, au eneo anakotokea.

Haya mambo ni ya kipuuzi kabisa.

Ndiyo maana hadi humu JF, watu ambao ungedhani wanazo akili za kutosha kutofautisha dini ya Samia na ubovu wa uongozi wake, lakini utakuta watu hao hao hawaoni ubaya wowote bali uzuri wa uislam wa Samia katika kila jambo!
 
Back
Top Bottom