Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kwani wanatokea wote upande moja???Ndejembi si ni DodomaKwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko
Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda ndio tunaweza kujadili Upemba wa Ndejembi A.K.A Naniliu
Sijui lolote mkuu nimeandika tuKwani wanatokea wote upande moja???Ndejembi si ni Dodoma
Kwani Ndejembi ni mkristo wa dhehebu ipi? Ktk vt vya hovyo ni kufuatulia hizi dini zilizoletwa kwa mashua.Kwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko
Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda ndio tunaweza kujadili Upemba wa Ndejembi A.K.A Naniliu
wanasema ni mpemba typicallyKwani wanatokea wote upande moja???Ndejembi si ni Dodoma
Hiyo ya Mpemba ni upande wa Mama Yake , au na Baba Naye ???wanasema ni mpemba typically
Marketing officer wa GSM ndiyo ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais! Kweli tumepotea.Alikua Market Office GSM
Makolo watapata taabu sana
Kuna mikoa ambayo mtoto anachukua ukoo wa mama na mingine mtoto ni uko wa babaHiyo ya Mpemba ni upande wa Mama Yake , au na Baba Naye ???
kuna maeneo ya jamhuri yetu wasioyokua watanzania waafrika wanapenya kutekeleza ndoto zao kua wabunge. Wahindi waarabu ndipo wanapitia kuingia bungeni kulinda maslahi ya tabaka lao la bwanyenye wafanya biashara. Maeneo ya dodoma singida na tabora wanatoa wali na kuhonga vihela wanapata ubunge kirahisi. Huyu Ndejembi nina shaka kama ni pandikizi na Samia anajua kwa kua hata yeye ni pandikizi. Ngoja tuone kama atakua chawa na muelekeo wake tutaelewa mara moja tu.Sijui lolote mkuu nimeandika tu
Mbeya na hasa Kyela mtoto ni upande wa mama, kwa Mfano jina la Ukoo la Mama kama ni Mwankusye, basi huo ndio utakuwa ubini wa watoto hata kama baba anaitwa MwakyusaKuna mikoa ambayo mtoto anachukua ukoo wa mama na mingine mtoto ni uko wa baba
1. Mikoa Ambayo Kimila "Mtoto ni wa Mama" (Matrilineal System)
Katika maeneo haya, ukoo, urithi, na umiliki wa mtoto hufuata upande wa mama (upande wa wajomba). Ukioa mwanamke kutoka jamii hizi, watoto wanaozaliwa huhesabiwa kuwa wa ukoo wa mama yao, na mjomba (kaka wa mama) ndiye mwenye sauti kubwa juu ya malezi, mahari, na maamuzi ya watoto.
Mikoa hii inajumuisha zaidi Ukanda wa Pwani, Kusini, na baadhi ya maeneo ya Kati:
- Morogoro: (Jamii za Waluguru, Wakutu, na Wakaguru).
- Pwani na Dar es Salaam: (Jamii za Wazaramo, Wakwere, Wandengereko, na Wamiiza).
- Lindi na Mtwara: (Jamii za Wamakonde, Wayao, na Wamakua).
- Ruvuma: (Jamii za Wawayao na Wanyasa - sehemu za wilaya za Tunduru na Nyasa).
- Dodoma & Singida: (Baadhi ya maeneo ya jamii za Wagogo na Warangi yana athari za mfumo huu katika masuala ya kimila).
2. Mikoa Ambayo Kimila "Mtoto ni wa Baba" (Patrilineal System)
Katika maeneo haya, mfumo ndio unaotawala kwa kiasi kikubwa nchini Tanzania. Ukoo, jina, na urithi wa mtoto hufuata upande wa baba. Mahari inapotolewa, watoto wote wanaozaliwa katika ndoa hiyo ni mali ya ukoo wa baba.
Mikoa hii inajumuisha maeneo ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa, Magharibi, na Nyanda za Juu Kusini:
Kwa msaada wa AI
- Kanda ya Ziwa (Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Simiyu, Shinyanga): (Wasukuma, Wanyambo, Waya, na makabila ya Mara kama Wakurya, Wajaluo, na Wazanaki).
- Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha, Manyara): (Wachaga, Wamasai, Wameru, Waparakuyo, na Wambulu/Wairaqw).
- Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora): (Waha, Wanyamwezi, na Wasumbwa).
- Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Rukwa, Katavi): (Wakyusa, Wahehe, Wabena, Wafipa, na Wakinga).
Wapemba mtoto ni wa mamaMbeya na hasa Kyela mtoto ni upande wa mama, kwa Mfano jina la Ukoo la Mama kama ni Mwankusye, basi huo ndio utakuwa ubini wa watoto hata kama baba anaitwa Mwakyusa
Lakini kama Taifa Mtoto ni wa Visiwani au BaraKuna mikoa ambayo mtoto anachukua ukoo wa mama na mingine mtoto ni uko wa baba
1. Mikoa Ambayo Kimila "Mtoto ni wa Mama" (Matrilineal System)
Katika maeneo haya, ukoo, urithi, na umiliki wa mtoto hufuata upande wa mama (upande wa wajomba). Ukioa mwanamke kutoka jamii hizi, watoto wanaozaliwa huhesabiwa kuwa wa ukoo wa mama yao, na mjomba (kaka wa mama) ndiye mwenye sauti kubwa juu ya malezi, mahari, na maamuzi ya watoto.
Mikoa hii inajumuisha zaidi Ukanda wa Pwani, Kusini, na baadhi ya maeneo ya Kati:
- Morogoro: (Jamii za Waluguru, Wakutu, na Wakaguru).
- Pwani na Dar es Salaam: (Jamii za Wazaramo, Wakwere, Wandengereko, na Wamiiza).
- Lindi na Mtwara: (Jamii za Wamakonde, Wayao, na Wamakua).
- Ruvuma: (Jamii za Wawayao na Wanyasa - sehemu za wilaya za Tunduru na Nyasa).
- Dodoma & Singida: (Baadhi ya maeneo ya jamii za Wagogo na Warangi yana athari za mfumo huu katika masuala ya kimila).
2. Mikoa Ambayo Kimila "Mtoto ni wa Baba" (Patrilineal System)
Katika maeneo haya, mfumo ndio unaotawala kwa kiasi kikubwa nchini Tanzania. Ukoo, jina, na urithi wa mtoto hufuata upande wa baba. Mahari inapotolewa, watoto wote wanaozaliwa katika ndoa hiyo ni mali ya ukoo wa baba.
Mikoa hii inajumuisha maeneo ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa, Magharibi, na Nyanda za Juu Kusini:
Kwa msaada wa AI
- Kanda ya Ziwa (Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Simiyu, Shinyanga): (Wasukuma, Wanyambo, Waya, na makabila ya Mara kama Wakurya, Wajaluo, na Wazanaki).
- Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Arusha, Manyara): (Wachaga, Wamasai, Wameru, Waparakuyo, na Wambulu/Wairaqw).
- Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora): (Waha, Wanyamwezi, na Wasumbwa).
- Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Rukwa, Katavi): (Wakyusa, Wahehe, Wabena, Wafipa, na Wakinga).
Kuna mikoa ambayo mtoto anachukua ukoo wa mama na mingine mtoto ni uko wa baba

Kwa hiyo dodoma iko pemba. HovyoKwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko
Ambacho Sina Hakika nacho ni kuhusu Rais na Makamu wake kutokea Upande mmoja wa Muungano kama kinaruhusiwa Kikatiba, hapa labda ndio tunaweza kujadili Upemba wa Ndejembi A.K.A Naniliu
Mimi nitachangia mada yako bila ya kujali aho akina Ndejembi na ukatoloki wao au uislam wao.Kwahiyo wale wanaotilia shaka Uislam wa Ndejembi hawana Mashiko