JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
IBARA YA 15
Ni marufuku kwa mtu yeyote kukamatwa, kufungwa, kufungiwa, kuwekwa kizuizini, kuhamishwa kwa nguvu au kunyang’anywa uhuru wake vinginevyo, isipokuwa tu:-
a) Katika hali na kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria; au
b) Katika kutekeleza hukumu, amri au adhabu iliyotolewa na mahakama kutokana na shauri au na mtu kutiwa hatiani kwa kosa la jinai.
Upvote
0