Katiba ya Tanzania ni bora zaidi ya Katiba ya Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla

tuliza mihemko sasa,

kumbe hata haijulikani uko ulimwengu wa Nuru au giza na ndio maana uko hivyo ulivyo, mihemko na hasira za kinyumbu tu badala ya kujadili hoja ya wazi kabisa mezani alaaa🐒
 
ndiyo ana nafasi,

si waerevu mnanata, mnaringa na mnajitenga kushiriki uongozi wa kisiasa mkitegemea ushirikina,ramli na miujiza...

hukuna kulalamikia hapa mtaongozwa na wale watakaojitokeza na kushiriki masula ya kidemokrasia mpende msipende, maana katiba nzur sana ya Tanzania ipo na inatuongoza vizuri yanayopaswa kwaajili ya maendeleo ya wananchi 🐒
 
Kama katiba yetu ni nzuri lakini sheria mbovu hivi...

Sipati picha huko kwao sheria zitakua za kishenzi kiasi gani ...
 
tuliza mihemko sasa,

kumbe hata haijulikani uko ulimwengu wa Nuru au giza na ndio maana uko hivyo ulivyo, mihemko na hasira za kinyumbu tu badala ya kujadili hoja ya wazi kabisa mezani alaaa🐒
Mi nina akili ya kujiongoza sina akili ya kufata dini kama wewe

Wewe huna akili ya kujiamulia maisha yako kama mtu huru ni mpaka ufate dini

Hoja zako za kipumbavu....

Mtu huwezi jisimamia mwenyewe kama mtu huru huna lolote la kuniambia regardless
 
Huijui vizuri inakubidi upate elimu kwa kina miaka kama 7 kuanzia leo ndio uje utufafanulie hapa
 
Nakuuliza swali,unaianini demokrasia ya upigaji kura? Yaani wajinga wawili wakiungani wanamzidi mwerevu mmoja,au tupigiwe kura na watu maalum tu
 
Swala si katiba bora, bali issue ni utekelezaji wa katiba. Je inatekelezwa maana kuna wanasiasa wanaiita kijitabu...
 
Nilitegemea udadavue ibara Kwa ibara ,,,yaani nlikua nakimbilia kusoma nikijidanganya eti utaanza
 
Mbi
Mbona umeishia ya Kenya tu na Afrika kusini?
 
.
Kenya chini ya katiba mpya na nzuri sana makamu wa rais kaweza kuiba hela
 
.
Kenya chini ya katiba mpya na nzuri sana makamu wa rais kaweza kuiba hela
Katiba ya kenya ni nzuri sana hakuna umungu mtu kwenye uongozi ukivurunda unaondoka kama wewe na utashitakiwa pia inawafanya wananchi wanaona nchi ni yao kweli wamiliki pia..angalau wanaweza kuandamana bila hofu yyte kudai haki zao na mahakama inasimama kuwatetea bila hofu yyte..

Kwa kweli katiba ya kenya ni ya mfano.
Huku tunaweza kuogoba kwa sababu kudai haki zetu ni kosa zito sana ni kama uhaini vile ndio maana tunao kama kenya hawapo sawa ila unaposema democrasia ndio mfano wa kenya sasa sio haya maigizo yetu.
 
Kama kuandika kwenyewe shida, hiyo akili ya kujua umuhimu wa katiba bora utatoa wapi
Kama wewe akili zako zimetokana na kusoma- wewe na lile robot la Nape hamna tofauti-umetengenezwa; mie nimeumbwa
 
Kenya ni nchi ya matabaka, siku zote inakuwa na ubinafsi wa hali ya juu. Pia wanalo tatizo la ardhi yenye rutuba kuwepo katika maeneo machache, sehemu kubwa ni kame sawa na kule Somalia na baadhi ya maeneo ya Ethiopia.

Wanaishi kwa kudanganyana na kudhulumiana, ukiwasikiliza Gen Z wanapolalamika utagundua wamekuwa na matatizo hayo ya kutapeliana kwa muda mrefu.

Hasira za wanaoandamana na wavunjaji wa miundo mbinu ya serikali ni matokeo ya muda mrefu ya hasira zinazolimbikizwa vichwani mwao.

Hakuna cha maana cha sisi kuiga kutoka kwao.
 
Na wajinga wakiungana,wanaweza kuchagua mfalme ndio nyie hapo.acheni kufananisha Kenya na vitu vya kijinga
 
Na wajinga wakiungana,wanaweza kuchagua mfalme ndio nyie hapo.acheni kufananisha Kenya na vitu vya kijinga
Kenya ndio vitu vya kijinga labda mwenzetu wewe bado mtoto kichwani.

Mwaka mzima ni mwendo wa maandamano na mauaji, Tanzania lini umeona upuuzi wa maandamano mitaani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…