Katiba ya Tanzania ni bora zaidi ya Katiba ya Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla

Sawa ila kipengele hiki ni cha aibu "kuwa mbunge ujue tu kusoma na kuandika".
 
Nilicheka sana hivi juzi niliposikia mahakama kumuhukumu naibu IGP wa Kenya kwenda jela miezi 6, ila kwa mujibu wa sheria zao polisi na wizara ya ulinzi haina mamlaka ya kumkamata akatumikie kifungo.

Katiba ya Kenya ndiyo inachochea machafuko, wizi, ukabila, mauaji, mateso, chuki n.k Ni katiba ya kuwahadaa wananchi.

Mahakama ya Kenya imezuia mambo mengi tu ila serikali ilipuuza na maisha yanaendelea, mfano issue ya kupeleka polisi Haiti.
 
Acha ukuda wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…