Katiba ya Tanzania tuliirithi katika mfumo wa Kifalme wa Uingereza hivyo Rais ni kama Mfalme na family yake ni sehemu ya Taasisi!

Katiba ya Tanzania tuliirithi katika mfumo wa Kifalme wa Uingereza hivyo Rais ni kama Mfalme na family yake ni sehemu ya Taasisi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna mambo Yako wazi kabisa na hauwezi kumlaumu Rais yoyote wa JMT kwa sababu Katiba imetoa Mwanya

Rais wa JMT ni sawa kabisa na Mfalme ndio sababu first Born wa Rais wa awamu fulani humu Mitandaoni alibatizwa kama Prince

Tangu enzi za Nyerere taasisi ya urais iliwahusu pia Ndugu na Wanafamilia wa Rais

Tunakumbushana tu kuwa ni Katiba

Mlale unono 😀😀
 
Nyerere alipoondoka madarakani aliwaacha akina nani madarakani?
Shida ilianzia akina Mwinyi na sasa kuna kaharufu ka Abdul na taa ya ajabu.
 
😂🤣👍Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Sana Ndugu Zangu
REST IN PEACE Mzilankende
 
Ndio mana upinzani wanapambana kuingia huko.

Katiba mpya sio kipangamizi kwenye upigaji
 
Ufalme sio mbaya. Kiufupi ni mzuri saaaana tu ikiwa kila upande utatimiza kikamilifu wajibu wake. Hata hivyo ni pale tu mmoja anapoacha kutimiza upande wake basi mfumo wowote, owe ni uraisi au ufalme unapotezaga ladha na kuwa mchungu.

Zama hizo ilikuwa. Mfalme ni wa hao watu kikamilifu kabisa kama ambavyo hao watu ni wa mfalme kikamilifu kabisa. Kila upande ulipenda.

Kwa hiyo tatizo kubwa la nchi yetu linabaki kuwa ni uwajibikaji tu.
 
Back
Top Bottom