Ufalme sio mbaya. Kiufupi ni mzuri saaaana tu ikiwa kila upande utatimiza kikamilifu wajibu wake. Hata hivyo ni pale tu mmoja anapoacha kutimiza upande wake basi mfumo wowote, owe ni uraisi au ufalme unapotezaga ladha na kuwa mchungu.
Zama hizo ilikuwa. Mfalme ni wa hao watu kikamilifu kabisa kama ambavyo hao watu ni wa mfalme kikamilifu kabisa. Kila upande ulipenda.
Kwa hiyo tatizo kubwa la nchi yetu linabaki kuwa ni uwajibikaji tu.