Inawezekana kwasasa kwa kufuata sera ya michezo nilimsikiliza mwanasheria aliye weka pingamizi sera inaruhusu mihula 3 TFF walibadilisha katiba kuruhusu mihula 4 kukinzana na sera ya michezo inayo sisitiza mihula 3, BMTL walifanya uzembe kutasfsiri sera ya michezoKila alichofanya au anachofanya mwamba Karia kina baraka za Fifa,
Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya wenye mpira wao.
Mpira ni mali ya nani?
Wa kumtoa Karia ni Fifa only guys wake up
aya mwekeni huyo munaemtakaHuyo tumbo tumbo keshashtuka hatakiwi kwa hiyo anafanya kila awezalo kuhakikisha hicho kiti hapati mtu mwingine ndio maana anabadilisha badilisha taratibu kum favor.