Inawezekana kwasasa kwa kufuata sera ya michezo nilimsikiliza mwanasheria aliye weka pingamizi sera inaruhusu mihula 3 TFF walibadilisha katiba kuruhusu mihula 4 kukinzana na sera ya michezo inayo sisitiza mihula 3, BMTL walifanya uzembe kutasfsiri sera ya michezo
Huyo tumbo tumbo keshashtuka hatakiwi kwa hiyo anafanya kila awezalo kuhakikisha hicho kiti hapati mtu mwingine ndio maana anabadilisha badilisha taratibu kum favor.
Huyo tumbo tumbo keshashtuka hatakiwi kwa hiyo anafanya kila awezalo kuhakikisha hicho kiti hapati mtu mwingine ndio maana anabadilisha badilisha taratibu kum favor.