Du Kamanda uwashtaki wenye nchi waliojiamulia namna ya kuendesha mabo yao ...Watanganyika amkeni kusimamaia nchi yetu!Ni hoja ambayo haina msingi wote tunajua kuwa mabadiliko ya katiba ya zanzibar yalivunja katiba ya muungano waliofanya hivyo walitakiwa washitakiwe sio kuunda katiba nyingine hii inamaanisha hata katiba ya sasa tunayoitaka haitaheshimiwa
Tanganyika!
kwhyo unamaanisha kuwa walitakiwa kupiga kelele wakati katiba ya Zanzibar inatungwa?
Ni hoja ambayo haina msingi wote tunajua kuwa mabadiliko ya katiba ya zanzibar yalivunja katiba ya muungano waliofanya hivyo walitakiwa washitakiwe sio kuunda katiba nyingine hii inamaanisha hata katiba ya sasa tunayoitaka haitaheshimiwa
mimi naona una hoja, yaani huo ndio ukweli, mfano Ibara ya 1 tu inasema Zanzibar ni nchi miongoni mwa nchi 2 za JMT, hiyo nchi nyingine ni ipi?
Amavubi nchi ingine ni hiyo Tanganyika kwenye katiba haipo ila nyinyi mnaotoa timu yenu ya taifa hamuoni kua ipo
yalianza wakatinchi zinaungana ,na yameendelea hivyo lakini yamekuwa yakizimwa kwa mkono wa chuma! Lakini kumbuka ni vigumu kuyazuia mawazo positive!Kwani mawazo ya kuwa na serikali tatu yalianza lini na katiba ya Zanzibar ilikuja lini?