Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais.
Mimi naona haya kama mapungufu makubwa ya katiba hii hasa ikizingatiwa miyoyo ya binadamu Ina Siri kubwa. Mtu mwenye Nia ovu anaweza kuwa mshauri wako wa karibu. Lakini katiba hiyohiyo haitoi mwanya au mamlaka ya wazi Kwa vyombo vya uchunguzi kuchunguza chanzo Cha kifo Cha mtawala au mtu yeyote. Madhara yanatokana na ukweli kwamba Rais ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho yakufuta KAZI na kuajiri bila kulazimishwa kushauriana na mtu yeyote, Kwa mantiki hiyo Makamu wa Rais akishirikiana na wauaji ataapishwa kuwa Rais imedietly. Akiapishwa imedietly anaweza akateua CDF, DGIS, IGP, CGI na Majaji akiwemo hata Jaji Mkuu, DPP, DCI na wengine na baada ya uteuzi akazima kabisa ndoto zakuchunguza Jambo linalotiliwa mashaka ambalo anaamini linamdhuru.
Kwa muktadha hii katibu siyo Rafiki Kwa Rais aliyepo Wala mrithi maana Urais unaisha imedietly after death nakuanza Urais mpya soon after death. Tunashukuru Mungu kwamba miaka yote tumejaaliwa Makamu wa Rais ambao hawana uchu wa madaraka. Ila huku tuendako na matamko yanayotoka ndani ya CCM Tena Kwa viongoz wakubwa ni ushauri wangu kwamba mabadiliko ya katiba yanamwakikishia usalama Rais aliyepo kuliko katiba iliyopo Sasa.
Wazee wa mifumo ebu fumbieni macho eneo hili mboreshe if you think as I do think and imagine. Viumbe wenye uchu wa madaraka wamekuwa wengi sana,tusiwashughulikie Bali tuweke kifungu cha katiba kinadhibiti Makamu wa Rais kujiandaa na kujioni Rais. Tufifishe ndoto ya wenye tamaa kupitia mwanya wa umakamu wa Rais kuwa Rais