Katiba

22nd

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2010
Posts
494
Reaction score
137
nina swali linanitatiza kidogo,kwahizi nchi zetu za africa(Tanzania) ambazo chama kimoja kinatawala kimabavu hata kama hakijashinda. haiwezekana kuundwa kwa katiba ambayo chama kimoja(sio mtu mmoja) kisiongoze zaidi ya miaka 10(au 5)?
i mean toka chama kichaguliwe,baada ya hiyo miaka kipishe chama chengine kishike nafasi.
 
haiwezekani ndugu, hata hivyo vipindi viwili vya miaka m5 kwa kiongozi havijakubalika kwa moyo mmoja. in practice, watu wanakesha kutafuta sababu ya kubadili katiba ili waendelee kutawala!
 


Sorry, unaweza kupost thread nyingine zaidi ya hii?
Au ipangilie hii hii uliyoipost ili tuweze changia inavyopasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…