22nd
JF-Expert Member
- Aug 1, 2010
- 494
- 137
nina swali linanitatiza kidogo,kwahizi nchi zetu za africa(Tanzania) ambazo chama kimoja kinatawala kimabavu hata kama hakijashinda. haiwezekana kuundwa kwa katiba ambayo chama kimoja(sio mtu mmoja) kisiongoze zaidi ya miaka 10(au 5)?
i mean toka chama kichaguliwe,baada ya hiyo miaka kipishe chama chengine kishike nafasi.
i mean toka chama kichaguliwe,baada ya hiyo miaka kipishe chama chengine kishike nafasi.