katiba.

katiba.

kuleha1

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
51
Reaction score
8
Inaonekana katiba hii mpya inawajali watu wa mjini tu,maana kwetu mchakato huo haupo kabisa.
 
mimi naona katiba hii mpya izingatie mawazo ya wananchi zaidi kupata viongozi ambao watasimamia maendeleo ya watu husika na sehemu husika kama wakuu wa wilaya wachaguliwe na wananchi na mkuu wa wilaya awe na mamlaka ya kutosho na sio mkurugenzi ndio awe na mamlaka ya maendeleo ya wilaya husika.ikiwa hivi wananchi hatuoni kazi ya mkuu wa wilaya ikwa hata afisa mtendaji anashindwa kumuwajibisha
 
Back
Top Bottom