Katiba

mdindile

Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
55
Reaction score
4
Hivi katiba nzuri ni ipi, ile yenye maslahi kwa wananchi au ile ambayo wengi wanaitaka!? Wakati mwingine naona tunachanganya sana kati ya ubora na wingi wa watu katika kuunga katiba hii? Alafu tunazunguza sana kuhusu utawala, mihimili ya serikali, sijui serikari ngapi lakn kidogo tunaangalia namna gani serikali yeyote itajibu vilio vya watanzania...lakini pia katiba mpya inatutosha watanzania, yaani fikiria tunaipitisha katiba ambayo wengi wanaipenda na bora imeandikawa,vp utekelezaji wake?
 
Nchi yetu ni moja ya nchi ya demokrasia.nchi ya demokrasia ni nchi inayoundwa(iliyoundwa)na watu kwa maana ya viongoz wake lazma wachaguliwe na wengi na lazma iongoze kwa faida au manufaa ya watu yaani kwa haki kwa wananchi wote.tunahitaji katiba iliyoundwa au kutengenezwa na wananchi wenyewe.si iwe imetengenezwa na wengi bali katiba yenye manufaa kwa wote.hata kama went I wakiipinga lkn iwe na maslahi na kutoa haki kwa wote.iweke misingi ya utawala bora mbele na namna sahihi ya utekelezaji wa haki kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…