mdindile
Member
- Jan 6, 2014
- 55
- 4
Hivi katiba nzuri ni ipi, ile yenye maslahi kwa wananchi au ile ambayo wengi wanaitaka!? Wakati mwingine naona tunachanganya sana kati ya ubora na wingi wa watu katika kuunga katiba hii? Alafu tunazunguza sana kuhusu utawala, mihimili ya serikali, sijui serikari ngapi lakn kidogo tunaangalia namna gani serikali yeyote itajibu vilio vya watanzania...lakini pia katiba mpya inatutosha watanzania, yaani fikiria tunaipitisha katiba ambayo wengi wanaipenda na bora imeandikawa,vp utekelezaji wake?