Katiba

Katiba

Bin Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
313
Reaction score
244
Nilivyomsoma warioba na tume yake, ni kwamba uamuzi wa serikali tatu umechangiwa hata na wakuu wa serikali, sasa iweje tuwachanganye wananchi na wajumbe walioko huko bungeni kwamba watetee serikali mbili hata kwa fujo?
 
Back
Top Bottom