Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Ayo ni maoni yako
Laizer naona umechoka, mbona umeanza kuwa na hoja nyepesi hivyo? Nimekubali kwamba ndg umechoka, Sababu yako hiyo ni dhahania kwasababu huzuiliwi kufikri na sii kila ukifikiri unaweza kufikiri sahihi, wewe fikra yako umekosea. Waache Watanzania waisome Katiba Inayopendekezwa ili waamue hatima ya nchi yao.
hayo mengine wala hayakuhusu, cha msingi ujue kuwa katiba unapaswa kuisoma vizuri so kusomea nimeielewa afu unakuja kubishia kitu ambacho kimeandikwa vema ktk katib hiyo hiyo, hapo unachemka.Me Pia ni MTANZANIA Na Nimeisoma KATIBA Yenyewe Na Ikanifanya nifil kwamba me sio MTANZANIA kutokana na kilichoandikwa humo kwa hyo unaposema waache Watanzania waisome utakua umekosea hapo.
Na ujue uelewa wako na wangu na ya mtu mwingne ni tofauti kwa hyo usitake kunilazimisha eti niikubali KATIBA ILIYOPENDEKEZWA Kwa KURA ya NDIYO.
Sheria yenyewe inaniruhusu nipige kura ya
•NDIYO
•HAPANA na KUHARIBU Pia.
Hivyo maamuzi uliyonayo wewe ni tofauti na maamuzi yangu.
THEN Unaposema Niwaache WATANZANIA Waisome hii KATIBA Itakuaje kwa wale wazazi wetu na baadhi ya Vijana wasiojua kusoma?
Wee unaeitetea hii KATIBA Mmeandaa njia gani ya kuwaelewesha hao ili nao wajue kilichoandikwa?
hayo mengine wala hayakuhusu, cha msingi ujue kuwa katiba unapaswa kuisoma vizuri so kusomea nimeielewa afu unakuja kubishia kitu ambacho kimeandikwa vema ktk katib hiyo hiyo, hapo unachemka.
Ndiyo hayakuhusu kama huna hoja ndugu kimyaa we ndo hujitambuiHayanihusu kivipi!?
jitambue wewe
Kaka Katiba ndiyo sheria mama na yeye atachukuliwa hatua kulingana na sheria na sio kukurupuka tu, wewe unaeukana utanzania wako nakuonea huruma kwani unakosa uzalendo na nchi yako, Katiba hii imemjali kila mmoja wetu hivi ukiikosa ujue unapoteza mambo mengi kwasabu hii tuliyonayo sasa ni ya zamani hivyo tunahitaji mpya yenye kujali makundi yote na ndiyo hii tumeipata, tuisome kwa umakini na kuielewa ili mwisho wa siku tukafanye maamuzi sahihi na sio mabishano yasiyo na sababu.
usiogope kubishana Wabunge wako wenyewe wanabishana kuhusu Katiba hii pendekezi
- Umejiandikisha kupiga Kura tayari katika Daftari la kudumu la mpiga kura?
- umeisoma Katiba na kuielewa kabla ya 30/ April/2015
- Kwanini Wabunge wameondoa kipengele cha wao kuwajibishwa na wananchi,
- Kwanini Rais hana maamuzi magumu na wananchi hawaruhusiwi kuhoji Katiba pendekezi ya Chenge?
- Nyoka mwenye Makengeza kachota vijisenti vya Rada
- Vijisenti kawauza kinadada wa Mwanza waliokuwa ktk Bajaj hajashtakiwa
- Ruge kampasia pande la ESCROW nyoka mwenye Makengeza na wote wanapeta
- Nyoka mwenye Makengeza kamgomea Jaji Msumi Mwenyekiti wa Tume ya Maadili mpaka leo kimya
- Kwa upande wa Zanzibar hawajaandikishwa na wana Katiba yao hii ya kwetu ni ya pili niambie ni kwanini hatuwaachii na maamuzi yao?
- unaelewa maana ya kura ya HAPANA? na ikipigwa mara ya pili ni nini kinafuata
- unahabari Katiba mpya ni mpaka 2018 kwa sasa tunaendelea na hii iliyopo?
- Nakushauri baki na hii iliyopo kwani siku zimeisha na hujaelimishwa.
Ukwaju Umesomekaaaaaa
l
l
Ahsanteee sana
Wewe na Ubuyu mmetumwa hamna lolote humu ndani wala hamjui kitu.
Eti Kura ya NDIYO?
Kwa misingi ipi walioiweka?
HAPANA
Wanaojua ni wewe!?
Ukwaju Umesomekaaaaaa
l
l
Ahsanteee sana
Nchi ni muhimu kuliko mawazo haya ya kusema katiba inayopendekezwa haifai kwa kuwa ni lazima tutambue kuwa watanzania wenyewe kwa ridhaa yao wenyewe waliamua kuanzisha mchakato wa katiba mpya,ambapo kwa sasa tumeshapata katiba inayopendekezwa na cha muhimu ni kuisoma na kuielewa ili tuweze kuwasaidia wale wachache ambao wamekengeuka na kukosa uzalendo hadi kufikia hatua ya kuwazarau watanzania walioamua kuanzisha mchakato huu,ni wajibu wetu kusaidiana kuwarudisha wale wanaopotoka na kushiriki katika kueneza propaganga zenye chuki na maneno ya fitna.Shikamoooo kaaatiba!HAPANA
Kijana kama kweli nikijana basi jitahidi uje na hoja sio kuleta mambo ya kijiweni. Eti wazalendo tanzania hakuna! Wewe ndo sio mzalendo, wazalendo tupo wengi. Ili uwe mzalendo hebu badilika sasa na uanze kuhamasisha watu kuiosoma Katiba Inayopendekezwa ili wasiwe na blank statements kama wewe. Jitahidi punguza kwenda vijiweni ili uanze kusoma Katiba. Ukiweza hilo utakuwa kijana mzuri kama we ni kibabu utamalizia uzee wako vizuri. Nadhani umenielewa.haha! Tz hainaga WAZALENDO Asee
wapo WANYONYAJI Na wazee wa kufos
Wanaojua ni wewe!?
Ukwaju hata mimi nimekupata, huyo nyoka wa makengeza mmemuona wapi jamani?nyoka na katiba wapi na wapi nimeona umeeleza mambo mengi kwa wakati mmoja jambo ambalo sio zuri sana katika kujenga hoja yenye nguvu, tuyaache hayo mimi naomba tueleweshane ya Zanzibar,
Kuhusu Rais wa Zanzibar na Mamlaka yake naomba usome Ibara ya 164; (1) na (2) imeeleza vizuri. Kwa hiyo hakuna haja ya kulaumu kuwa Zanzibar haina haki wala mamlaka sio kweli soma vizuri brother.
- Hayo ya Chenge tuyaache kwani nilitaka kuonesha katiba pendekezi nitaipigia KURA YA HAPANAna sababu zenyewe ni nyingi hiyo ya ubabe wa Chenge ikiwa ni mojawapo
- Zanzibar kumtimua Mwanasheria Othman nayo yalikuwa ni makosa kwani naye aliwakilisha maoni yake na ya Wazanzibar wakati CCM ilitaka awakilishe na kupigia kura matakwa yaokwani yeye alitaka eneo la Zanzibar lisiwe eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maana nyingine alitaka Zanzibar itambulike ikiwa ina eneo lake wenyewe kinyume na sera ya CCM.
- Soma Ibara 99 Makamu wa Rais Watatu Rais wa Zanzibar atakuwa Makamu wa pili
- Ibara 114 atakuwa katika Baraza laMawaziri na ataapa Kwa Raus wa Muungano (lkn Rais akifika Zanzibar hana Mamlaka yeyote) sasa kwa nini Katiba ya Nyoka wa Makengeza inaficha ZANZIBAR NI DOLA
- Soma Ibara 107 (1) soma pia (2) na (3)
(hatakuwa na Mamlaka yeyote hata Rais wa muungano km hatakuwepo)piga kura ya HAPAMA tuanze tena mchakato wa huru na Wenzetu Zanzibar wahusike kikamilifu
hapana kwa sababu mpaka leo sijaisoma kila ninapoifuata naambiwa zimekwisha na pia vipengele vingi vimetolewa.haifai kwa sisi vijana.na pia mpaka sasa vijana wengi hatujaandikishwa kwa nini kama huu sio uonevu wa kutunyima haki yetu ya msingi?
ushindwe na ulegee makalio yako hanisimsengeUshindwe na ulegeee we hanisi, dua la kuku halimpati mwewe hata siku moja, we endelea na porjo zako hizo afu uone kama mtafanikiwa na hayo mambo yenu.