Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 157
- 155
Ni jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza kuwa la kuwatukana Viongozi wa CCM na Serikali.
Viongozi wanaotukanwa na kushambuliwa kwa lugha za kashfa,kebehi na kupewa majina ya ajabu ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed,Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Omesmo Makota na Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki,Dkt George Lugomela.
Lengo la kufanya hivyo kunahusiana na uchaguzi wa ndani ya CCM mwakani ambapo mfadhili wa jambo hilo,Stanslaus Nyongo ndiye anayetoa fedha ili kulipa vijana wake kutumia mitandao ya kijamii kuwachafua viongozi hao.
Nyongo aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki miaka 10 kabla ya kushindwa na Dkt Lugomela na aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Madini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Uwekezaji.
Kwa kushirikiana na Katibu wa CCM wilaya ya Maswa ambaye hivi karibuni alikataliwa na halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Maswa kutokana na tuhuma mbalimbali sasa anaongoza mapambano hayo ya kutukana na kudharirisha viongozi wa chama chake mitandaoni.