Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 157
- 155
Tulishatoa amri haya makundi yafungwe. Naomba namba zake na anuani yake, tafadhali sana.Ni jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza kuwa la kuwatukana Viongozi wa CCM na Serikali.
Viongozi wanaotukanwa na kushambuliwa kwa lugha za kashfa,kebehi na kupewa majina ya ajabu ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed,Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Omesmo Makota na Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki,Dkt George Lugomela.
Lengo la kufanya hivyo kunahusiana na uchaguzi wa ndani ya CCM mwakani ambapo mfadhili wa jambo hilo,Stanslaus Nyongo ndiye anayetoa fedha ili kulipa vijana wake kutumia mitandao ya kijamii kuwachafua viongozi hao.
Nyongo aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki miaka 10 kabla ya kushindwa na Dkt Lugomela na aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Madini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Uwekezaji.
Kwa kushirikiana na Katibu wa CCM wilaya ya Maswa ambaye hivi karibuni alikataliwa na halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Maswa kutokana na tuhuma mbalimbali sasa anaongoza mapambano hayo ya kutukana na kudharirisha viongozi wa chama chake mitandaoni.
1-Shitakianeni kwenye chama chenu AUNi jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza kuwa la kuwatukana Viongozi wa CCM na Serikali.
Viongozi wanaotukanwa na kushambuliwa kwa lugha za kashfa,kebehi na kupewa majina ya ajabu ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed,Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Omesmo Makota na Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki,Dkt George Lugomela.
Lengo la kufanya hivyo kunahusiana na uchaguzi wa ndani ya CCM mwakani ambapo mfadhili wa jambo hilo,Stanslaus Nyongo ndiye anayetoa fedha ili kulipa vijana wake kutumia mitandao ya kijamii kuwachafua viongozi hao.
Nyongo aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki miaka 10 kabla ya kushindwa na Dkt Lugomela na aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Madini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Uwekezaji.
Kwa kushirikiana na Katibu wa CCM wilaya ya Maswa ambaye hivi karibuni alikataliwa na halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Maswa kutokana na tuhuma mbalimbali sasa anaongoza mapambano hayo ya kutukana na kudharirisha viongozi wa chama chake mitandaoni.
Kama vipi,wapigane magumi kabisa!Kutuletea maugomvi yao huku ni unnecessary pollution!Safi SANA katibu wapelekee moto had chama kiwe hohehahe
Mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe mwenyewe. Acha wakanyagane wenyewe kama migambo.Ni jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza kuwa la kuwatukana Viongozi wa CCM na Serikali.
Viongozi wanaotukanwa na kushambuliwa kwa lugha za kashfa,kebehi na kupewa majina ya ajabu ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed,Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Omesmo Makota na Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki,Dkt George Lugomela.
Lengo la kufanya hivyo kunahusiana na uchaguzi wa ndani ya CCM mwakani ambapo mfadhili wa jambo hilo,Stanslaus Nyongo ndiye anayetoa fedha ili kulipa vijana wake kutumia mitandao ya kijamii kuwachafua viongozi hao.
Nyongo aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki miaka 10 kabla ya kushindwa na Dkt Lugomela na aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Madini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Uwekezaji.
Kwa kushirikiana na Katibu wa CCM wilaya ya Maswa ambaye hivi karibuni alikataliwa na halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Maswa kutokana na tuhuma mbalimbali sasa anaongoza mapambano hayo ya kutukana na kudharirisha viongozi wa chama chake mitandaoni.
Anapaswa alete taarifa kwamba wameuana tu.Hizo issues za kuchambana ni za kilofa.Kwanza anatakiwa awachonganishe na ahakikishe kadhaa wamekufa.Acha majungu wewe Chawa
Huo ujumbe wa kitukana upo wapi
Na,hao ni chama kimoja,itikadi moja kwa lengo la kula hela za huyo mfadhili wao fisadi.Je,angekuwa wa chama kingine amesogeza pua yake?Kama vipi atekwe na kuuawa
0755764000Tulishatoa amri haya makundi yafungwe. Naomba namba zake na anuani yake, tafadhali sana.
Haya kwanini msijadili kwenye vikao vyenu vya ndani?..Ni jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza kuwa la kuwatukana Viongozi wa CCM na Serikali.
Viongozi wanaotukanwa na kushambuliwa kwa lugha za kashfa,kebehi na kupewa majina ya ajabu ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed,Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Omesmo Makota na Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki,Dkt George Lugomela.
Lengo la kufanya hivyo kunahusiana na uchaguzi wa ndani ya CCM mwakani ambapo mfadhili wa jambo hilo,Stanslaus Nyongo ndiye anayetoa fedha ili kulipa vijana wake kutumia mitandao ya kijamii kuwachafua viongozi hao.
Nyongo aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki miaka 10 kabla ya kushindwa na Dkt Lugomela na aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Madini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Uwekezaji.
Kwa kushirikiana na Katibu wa CCM wilaya ya Maswa ambaye hivi karibuni alikataliwa na halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Maswa kutokana na tuhuma mbalimbali sasa anaongoza mapambano hayo ya kutukana na kudharirisha viongozi wa chama chake mitandaoni.
Sasa unakuja kutushitakia hapa Sisi na ccm wapi na wapi? Uli-njinga shi'nyanda?Ni jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza kuwa la kuwatukana Viongozi wa CCM na Serikali.
Viongozi wanaotukanwa na kushambuliwa kwa lugha za kashfa,kebehi na kupewa majina ya ajabu ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed,Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Omesmo Makota na Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki,Dkt George Lugomela.
Lengo la kufanya hivyo kunahusiana na uchaguzi wa ndani ya CCM mwakani ambapo mfadhili wa jambo hilo,Stanslaus Nyongo ndiye anayetoa fedha ili kulipa vijana wake kutumia mitandao ya kijamii kuwachafua viongozi hao.
Nyongo aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki miaka 10 kabla ya kushindwa na Dkt Lugomela na aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Madini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Uwekezaji.
Kwa kushirikiana na Katibu wa CCM wilaya ya Maswa ambaye hivi karibuni alikataliwa na halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Maswa kutokana na tuhuma mbalimbali sasa anaongoza mapambano hayo ya kutukana na kudharirisha viongozi wa chama chake mitandaoni.
Wauane kabisa kutukana haitoshiiNi jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza kuwa la kuwatukana Viongozi wa CCM na Serikali.
Viongozi wanaotukanwa na kushambuliwa kwa lugha za kashfa,kebehi na kupewa majina ya ajabu ni pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed,Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Omesmo Makota na Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki,Dkt George Lugomela.
Lengo la kufanya hivyo kunahusiana na uchaguzi wa ndani ya CCM mwakani ambapo mfadhili wa jambo hilo,Stanslaus Nyongo ndiye anayetoa fedha ili kulipa vijana wake kutumia mitandao ya kijamii kuwachafua viongozi hao.
Nyongo aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki miaka 10 kabla ya kushindwa na Dkt Lugomela na aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Madini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Uwekezaji.
Kwa kushirikiana na Katibu wa CCM wilaya ya Maswa ambaye hivi karibuni alikataliwa na halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Maswa kutokana na tuhuma mbalimbali sasa anaongoza mapambano hayo ya kutukana na kudharirisha viongozi wa chama chake mitandaoni.
Asante sana tunalifanyia kazi.0755764000