McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria Zakaria Obad akizungumza katika mkutano wa chama hicho jijini Mwanza ambao umewakutanisha viongozi na wanachama wa wilaya za Ilemela na Nyamagana
"Tumemaliza hatua ya kwanza ya kutoa elimu, kufanya mikutano ya hadhara... maneno yamesha zungumzwa vyakutosha lazima tufikirie baada ya maneno tunasitishaje uchaguzi"