Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
By Dick Dauda -
September 2, 2016

Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Morogoro, imempandisha tena kizimbani Katibu wa chama cha soka Manispaa ya Morogoro Kafari Maharagande anayedaiwa kutoa rushwa ya chakula chenye thamani ya shilingi za Tanzania milioni moja kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho.
Upelelezi wa shitaka la hilo umekamilika na kesi hiyo inatarajia kuanza kusikilizwa September 15 mwaka huu.