Katibu mkuu anavyomtumia The Voice of Voiceless

Katibu mkuu anavyomtumia The Voice of Voiceless

Do santos

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
635
Reaction score
338
Kwa muda mrefu sana katibu Mkuu wa chama cha soka amekuwa akimtumia The Voice of Voiceless kufikisha ujumbe au kile kitakacho tokea hususani katika maamuzi au kuwaanda watu kisaikoloji kinachokuja kutokea.

Unaweza kuona kama huyu jamaa The Voice of Voiceless anajua utaratibu fulani lakini ni dokezo kutoka kwa katibu.

Katibu kwa muda amekuwa na bifu la kimya kimya na mhamasishaji wa wananchi hivyo amekuwa akihakikisha
anamnyoosha kwa mamlaka aliyokuwa nayo.

Suala la kule Arusha ni yeye aliyetoa video kwa The Voice of Voiceless na kuhakikisha mhamasishaji anaingia kifungoni.
Licha ya suala hilo kumalizwa nyumbani kwa Rais, lakini Katibu alihakikisha Mhamasishaji anaingia kifungoni.

Suala la jana kutokea kama MC, lilimuudhi na akamtaarifu The Voice of Voiceless kuandika kuonesha ni kosa na kwamba
Rais wa wananchi anastahili kupelekwa kwenye kamati ya maadili.

Na kweli leo tamko limetoka Rais anapelekwa kamati ya maadili.

Leo nimewategulia kitendawili ambacho wengi hawakuwa wanakijua.

Walichokua wanajua kuna bifu kati ya The Voice of Voiceless
na mhamasishaji kumbe ni katibu na mhamasishaji.

Katibu amekua hafurahishwi na mhamasishaji na mambo yake.

Kumbuka katibu na The Voice of voiceless wamekuwa kwa muda mrefu kuanzia kusoma pamoja na kucheza mpira pamoja.
 
Eti wakati suala la arusha walimalizana kwa kuombana msamaha.aliikosea taasisi na sio mtu binafsi.walisameheana lkn taasisi ilichukua hatua stahiki.uto acheni kulalamika na kwa hili lililotokea jana apigwe lifetime ban itapendeza zaidi
 
Back
Top Bottom