Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea Tunduru, mkoani Ruvuma, tayari kuanza ziara yake ya siku 5.
Uwanjani hapo, Balozi Nchimbi amepokelewa na viongozi wa Chama na Serikali, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mtwara, Ndugu Saidi Musa Nyegedi.
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election. Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara