ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Naomba kuuliza hivi ukikashifiwa ndio unajiuzulu au?View attachment 2828819
Tumepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia.
Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika.
(Haya ni maneno ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Yaani unakuta umekufa Kwa chenchede linakwambia dia nitumie ndurute niione Ili nipate usingizi..Zilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Hiyo hata mm naweza sajili Whatsapp kwenye simu zangu mbili Tofauti kisha nikajitumia picha za matako na kuandika jina lako ikionyesha unaomba nikugegedeZilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Rahisisha code! Mzee wa Canada ni nani?Mkuu wala usishangae kauli ya mama Samia huyo mama muone hivo Hana jaziba lakini aliyejiuzuru anakashifa kibao zinazohusu yeye na zenye ushahidi na Yule mzee wa Canada ! Kama huyo mzee wa Canada anajuwa dili anazofanya na mbowe kwa kumshawishi mkuu wa nchi
Hakuna anachofuatilia. Anaenda kuandaa vijembe na vichambo kama alivyofanya kwa Ndugai.Kwa hii kauli ya Samia maana yake maneno aliyoandika Chongolo jana kuhusu kujiuzulu kwake ni ya kweli, amesingiziwa uongo, hivyo akaamua kujiuzulu ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.
Tatizo linakuja, kama issue ya Gekul Samia aliweza kuchukua hatua, jambo linaloonesha alishauriwa na vyombo vyake vya usalama, iweje kwa hili la Chongolo Samia atuambie anafuatilia?
Kwanini asingefuatilia ili kujiridhisha halafu watakapokutana kwenye hiki kikao chao awe na jibu kamili? au Samia anataka kutuaminisha hili la Chongolo linekuja ghafla sana kuzidi lile la Gekul?
Hapa Samia ameamua kufunika kombe mwanaharamu apite, baada ya muda wamteue KM mpya maisha yaendelee, kwa maana nyingine kapigwa bao na Chongolo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ni kweli ni mtu anayekijua Chama vizuri.Amekuwa Katibu wa CCM wa Mkoa Msaidizi kwa miaka mingi,Katibu wa Sekretariati ya Halmashauri Kuu ya CCM na,Mkuu wa Wilaya.Ni mtu makini sana.Macha Yuko vizuri binafsi napendekeza apewe ukatibu mkuu wa Chama changu CCM
Kwa hii kauli ya Samia maana yake maneno aliyoandika Chongolo jana kuhusu kujiuzulu kwake ni ya kweli, amesingiziwa uongo, hivyo akaamua kujiuzulu ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.
Tatizo linakuja, kama issue ya Gekul Samia aliweza kuchukua hatua, jambo linaloonesha alishauriwa na vyombo vyake vya usalama, iweje kwa hili la Chongolo Samia atuambie anafuatilia?
Kwanini asingefuatilia ili kujiridhisha halafu watakapokutana kwenye hiki kikao chao awe na jibu kamili? au Samia anataka kutuaminisha hili la Chongolo linekuja ghafla sana kuzidi lile la Gekul?
Hapa Samia ameamua kufunika kombe mwanaharamu apite, baada ya muda wamteue KM mpya maisha yaendelee, kwa maana nyingine kapigwa bao na Chongolo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nakubaliana nawe!Zile fake pictures tu wala siyo Chongolo. Naamini Chongolo alijiingiza kwenye siasa za makundi. Akapoteza uaminifu kwa Mwenyekiti wake.
Paragraph ya mwisho umeongea point kubwa sana ambayo hata wasomi wengi hawawezi kuisema hadharaniMbaya zaidi hao wote wakitoka wanakua victim wa kivuli cha rais na aliyeko madarakani hajifunzi na aliyetoka hataki kuwa somo la historia kwa watu.
Nyerere alikuja kuwa victim wa siasa za akina mwinyi na watu wao....
Mwinyi somehow alikua victim wa siasa za mkapa...
Mkapa akawa victim wa siasa za wanamtandao hadi kufikia kulia kwa kijana wake Magufuli.
JK na wanamtamdao wenzie walikua victimised na siasa za magufuli kupita kiasi and magufuli asingekufa JK alikua anakwenda ndani.
Samia alifaa awe mwanafunzi mwema wa historia bahati mbaya sana historia haimjengi mwafrika kulinganisha na wenzetu ulaya.
Kuna Malaya alimtumia picha za utupu kuonyesha nyeti zake Malaya kavujisha pichaKwani alikashifiwa nini mzee chongolo?
Mzee mmoja hivi wa makamu hupenda kunyoa kipara.Rahisisha code! Mzee wa Canada ni nani?
Ile historia ya ufashisti na unazi huko Ulaya pamoja na mapinduzi makubwa yaliyoleta vifo na umwagikaji wa damu vilifanya iwe funzo na historia iliyoibadili ulaya kwa kiasi kikubwa sana!Paragraph ya mwisho umeongea point kubwa sana ambayo hata wasomi wengi hawawezi kuisema hadharani
Viongozi wa Afrika hawako tayari kujifunza kupitia historia, wanajiendea endea tu kana kwamba hawana cha kujifunza kwa watangulizi wao
Watu huwa hawaelewi kuwa binadamu tunajifunza kutokana na mazuri na mabaya. Aliyetangulia akiharibu maana yake anayekuja anakuwa amerahisishiwa asirudie kosa kama lililotokea. Ni viongozi wachache sana wanaoliishi hili
Yangu lakiniNitumie PM
George Orwellhaa kinaitwa animal farm mwandishi anaitwa somebody orwel . Jina kwanza limenitoka. Hicho kitabu kiliwahi pigwa marufuku kwa baadhi ya nchi , maana kilikuwa kama dhihaka kwa watawala
Kudadadadek🤣Vipi kajaaliwa au ndo kibamia ?
Mangi kakabidhiwa mikoba. Lazima kielewekeView attachment 2828819
Tumepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia.
Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika.
(Haya ni maneno ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Nasikia ana gari halina bima!likapata ajali,yeye akalazimisha lilipwe hela ya matengenezo!Baya zaidi ana mchepuko!wakawa wanacharti huku wakirushia vitendea kazi vyao wakiwa nguo ziko pembeni kama wametoka kuzaliwa!(chanzo:Mwanahalisionline).Kwani alikashifiwa nini mzee chongolo?