Polepole apewe ili wahuni wanaotaka kumkwamisha maza wadhibitiwe π ππKaimu anakaimu wakati KM amesafiri au anaugua. Lakini kwa huyu Chongolo ameondoka na hayupo. Samia kampa Anamringi kama probation, akikidhi anaachiwa moja kwa moja
Ubunge ni madaraka muhimu sana, au unapewa na wananchi wanaokuchaguwa au unapewa na kiongozi mkuu aliyechaguliwa na wananchi kuwa ni mfanya maamuzi wao.Hivi Ubunge si madaraka? Rejea Gekul?
Maadamu ni ccm anafaa tuAlly Happi aliwaangusha vijana pakubwa.
Anakaimu wakati ambapo nafasi ya katibu mkuu iko wazi kwa sababu yoyote ile. Nafasi ya katibu mkuu iko wazi kwa sababu ya katibu mkuu kujiuzulu na bado halmashauri kuu haijateua mwanachama mwingine kuchukua wadhifa huo,hivyo basi anayefata kimadaraka kwenye mnyororo wa madaraka ndo anakaimu hiyo nafasi na wala sio kwamba amepewa ila ilikuwa ni lazima akaimu yeye. Ili asikaimu ilibidi yeyote atakayeletwa awe ameteuliwa rasmi kama katibu mkuu na sio kaimu tena.Kaimu anakaimu wakati KM amesafiri au anaugua. Lakini kwa huyu Chongolo ameondoka na hayupo. Samia kampa Anamringi kama probation, akikidhi anaachiwa moja kwa moja
Wachoke mara mbili? Au huu ukimya na uoga unadhani ndio kuridhika? Kutoka barabarani ni hatua inayofuata, hatua namba Moja ilikuwa ni kutengeneza ushawishi, kitendo Cha kusema watu wanaweza kuingia barabarani, hiyo ni hatua namba Moja.Mapinduzi hiyo ni hatua ni hatua ya mwisho ya kuuchoka utawala je Tz imefikia hali hiyo jibu bado jeshi na wananchi walio wengi bado wana imani na wanaiamini chama na serikali yao adhimu je ujasiri wa kutoka barabarani unao?jibu huna tuliona mlimuacha peke yake tundu lissu akikimbilia ubalozi wa ujerumani alipowahamasisha mtoke hivyo uyawazayo bado sana.Mbowe ni kiongozi mwenye maono anaipenda nchi yake na ana biashara zake hataki zipotee!
Cha kusikitisha huyo mwenye ushawishi mlimuwacha peke yake kwanini?Wachoke mara mbili? Au huu ukimya na uoga unadhani ndio kuridhika? Kutoka barabarani ni hatua inayofuata, hatua namba Moja ilikuwa ni kutengeneza ushawishi, kitendo Cha kusema watu wanaweza kuingia barabarani, hiyo ni hatua namba Moja.
Unampaka Mbowe mafuta kwa mgongo wa chumba sio? Kwa taarifa yako mwenye ushawishi huko cdm ni Lisu Wala sio Mbowe. Mbowe anaweza kukiburuza chama chake kishiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi ili mumpe backup ya biashahara zake, lakini Hana ushawishi tena wa maana kwa wapiga kura.
Kwani hata alipokuwa anaenda bungeni watu waliacha kazi zao wakaenda naye bungeni? Kila jambo Lina wakati wake, yeye ameshatekeleza wajibu wake wa kuhamasisha, hatua inayofuata ni ya kwetu wananchi.Cha kusikitisha huyo mwenye ushawishi mlimuwacha peke yake kwanini?
Tindo ndugu yangu kubali chadema imepoteza mvuto na ushawishi agenda ya ufisadi ilizikwa wapi sijui!Kwani hata alipokuwa anaenda bungeni watu waliacha kazi zao wakaenda naye bungeni? Kila jambo Lina wakati wake, yeye ameshatekeleza wajibu wake wa kuhamasisha, hatua inayofuata ni ya kwetu wananchi.
Cdm wamepoteza mvuto, au dhalimu ndio alipotezea siasa mvuto baada ya kunajisi uchaguzi? Au unadhani hatujui nani aliharibu hamasa ya siasa hapa nchini?Tindo ndugu yangu kubali chadema imepoteza mvuto na ushawishi agenda ya ufisadi ilizikwa wapi sijui!
Eidan khenani , Halima mdee &crew wapo mjengoni nyinyi kaeni hivyo hivyo!Cdm wamepoteza mvuto, au dhalimu ndio alipotezea siasa mvuto baada ya kunajisi uchaguzi? Au unadhani hatujui nani aliharibu hamasa ya siasa hapa nchini?
Ache kuwepo tu bungeni, wapeni hata uspika lakini hatuna muda na hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura.Eidan khenani , Halima mdee &crew wapo mjengoni nyinyi kaeni hivyo hivyo!