Wachoke mara mbili? Au huu ukimya na uoga unadhani ndio kuridhika? Kutoka barabarani ni hatua inayofuata, hatua namba Moja ilikuwa ni kutengeneza ushawishi, kitendo Cha kusema watu wanaweza kuingia barabarani, hiyo ni hatua namba Moja.
Unampaka Mbowe mafuta kwa mgongo wa chumba sio? Kwa taarifa yako mwenye ushawishi huko cdm ni Lisu Wala sio Mbowe. Mbowe anaweza kukiburuza chama chake kishiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi ili mumpe backup ya biashahara zake, lakini Hana ushawishi tena wa maana kwa wapiga kura.