Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
Mfuruki aliwahi kuwa ATC, akiwa na cheo gani? (enzi hizo "L" ilikuwa bado).HUYUU ALIEUA ATCL NA WAZUNGU WA SAA UNAKICHAA KWELI
Zikiwa zimebaki siku 13 kufikia mkutano Mkuu wa CCM, dalili njema zinaonekana kwa Ally Mufuruki kuwa katibu Mkuu wa chama hicho akichukua nafasi ya Kanali Kinana..
Kuna uwezekana mkubwa Ally Mufuruki akawa katibu mkuu. Ally anaaminiwa kuwa atasaidia kukisuka chama hasa katika suala zima la matumizi. Kwa upande mwingine Kinana naye anapewa nafasi kubwa ya kuendelea ingawa yeye mwenyewe amesikika mara nyingi akiomba kupumnzika...
NB: Mkutano wa 23.7.2016 utakuwa salama sana, na wanaojaribu kukivuruga hawatabaki salama!
Katiba ya ccm inasema katibu mkuu atachaguliwa miongoni mwa wajumbe wa nec,hivi Ally ni m Nec?Zikiwa zimebaki siku 13 kufikia mkutano Mkuu wa CCM, dalili njema zinaonekana kwa Ally Mufuruki kuwa katibu Mkuu wa chama hicho akichukua nafasi ya Kanali Kinana..
Kuna uwezekana mkubwa Ally Mufuruki akawa katibu mkuu. Ally anaaminiwa kuwa atasaidia kukisuka chama hasa katika suala zima la matumizi. Kwa upande mwingine Kinana naye anapewa nafasi kubwa ya kuendelea ingawa yeye mwenyewe amesikika mara nyingi akiomba kupumnzika...
NB: Mkutano wa 23.7.2016 utakuwa salama sana, na wanaojaribu kukivuruga hawatabaki salama!
Kwa hili mkuu alikulupukaHakuna mkutano wowote tare 23,mtukufu raisi kashapiga marufuku mikutano ya kisiasa na mikusanyiko inayohusiana na siasa mpaka 2020.
Kwahiyo mwambie uyo Ally asubili mpaka mtukufu raisi atakapotengua kauli yake.