jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Nisamehe mkuu.what's wrong with u????? acha aiue na ccm. ... yawezekana ndo mkono wa Mungu uo wa kuirestisha in peace huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisamehe mkuu.what's wrong with u????? acha aiue na ccm. ... yawezekana ndo mkono wa Mungu uo wa kuirestisha in peace huo
Kwelihuu n wehuu umeshindwa kuongozaa faniyako yabiashara ukaongoze siasa ambayoo huijuiiATCL hata angepewa nani isingeimarika. Shrika lilikuwa limeshakufa
Ali Mufuruki siyo mwanasiasa ni mfanyabiashara na msomi. Is he a right candidate kwa kazi kama ya Ukatibu Mkuu wa CCM ambayo inahitaji mtu vocal aliye na muda mwigni wa kuzungumza na media
Shidaasanaa KAMA ANATAKAKUUA CHAMA AMUULIZE LUBUVAAlly aache biashara aingie kwenye siasa za majitaka zisizo na mwelekeo? Labda huyo sio Allt tunaemjua ni Ally Mfuruki fake!
Naona chama kinaangalia kwenye unafuu wa fweedha, huyo jamaa ana noti za kutosha atakisaidia chamaZikiwa zimebaki siku 13 kufikia mkutano Mkuu wa CCM, dalili njema zinaonekana kwa Ally Mufuruki kuwa katibu Mkuu wa chama hicho akichukua nafasi ya Kanali Kinana..
Kuna uwezekana mkubwa Ally Mufuruki akawa katibu mkuu. Ally anaaminiwa kuwa atasaidia kukisuka chama hasa katika suala zima la matumizi. Kwa upande mwingine Kinana naye anapewa nafasi kubwa ya kuendelea ingawa yeye mwenyewe amesikika mara nyingi akiomba kupumnzika...
NB: Mkutano wa 23.7.2016 utakuwa salama sana, na wanaojaribu kukivuruga hawatabaki salama!
Kwani ccm tangia lini ilikuwa na watu wasafi?Huyu alieua ATCL na wazungu wa saa unakichaa kweli
Labda mbadili na rangiCCM mpya itakuja
Hao ndio wanafaa kwepo ccmHuyo mufuruki aliyeshindwa dar es salaam gymkhana club akatolewa mkuku leo wampe "hii kitu"
Polisi wamekanusha katazo la mkusanyiko wa vyama kwani ule wa cdm walikuwa wanagopa bendera tuKwani mkutano utakuwepo? Sii watazuiwa na Vijana wa Bavicha wakisaidiana na Polisi?