Tetesi: Katibu Mkuu CCM ni Ally Mufuruki

Tetesi: Katibu Mkuu CCM ni Ally Mufuruki

ATCL hata angepewa nani isingeimarika. Shrika lilikuwa limeshakufa
Ali Mufuruki siyo mwanasiasa ni mfanyabiashara na msomi. Is he a right candidate kwa kazi kama ya Ukatibu Mkuu wa CCM ambayo inahitaji mtu vocal aliye na muda mwigni wa kuzungumza na media
Kwelihuu n wehuu umeshindwa kuongozaa faniyako yabiashara ukaongoze siasa ambayoo huijuii
 
Ally aache biashara aingie kwenye siasa za majitaka zisizo na mwelekeo? Labda huyo sio Allt tunaemjua ni Ally Mfuruki fake!
Shidaasanaa KAMA ANATAKAKUUA CHAMA AMUULIZE LUBUVA

ASHUKURU HEKIMA ZA LUBUVA
 
Zikiwa zimebaki siku 13 kufikia mkutano Mkuu wa CCM, dalili njema zinaonekana kwa Ally Mufuruki kuwa katibu Mkuu wa chama hicho akichukua nafasi ya Kanali Kinana..

Kuna uwezekana mkubwa Ally Mufuruki akawa katibu mkuu. Ally anaaminiwa kuwa atasaidia kukisuka chama hasa katika suala zima la matumizi. Kwa upande mwingine Kinana naye anapewa nafasi kubwa ya kuendelea ingawa yeye mwenyewe amesikika mara nyingi akiomba kupumnzika...

NB: Mkutano wa 23.7.2016 utakuwa salama sana, na wanaojaribu kukivuruga hawatabaki salama!
Naona chama kinaangalia kwenye unafuu wa fweedha, huyo jamaa ana noti za kutosha atakisaidia chama
 
Kwani mkutano utakuwepo? Sii watazuiwa na Vijana wa Bavicha wakisaidiana na Polisi?
Polisi wamekanusha katazo la mkusanyiko wa vyama kwani ule wa cdm walikuwa wanagopa bendera tu
 
Back
Top Bottom