Halafu kupitishwa kwenyewe, kunategemea Mwenyekiti kaamkaje siku hiyo ya uteuzi!Hivyo watagombea mabilionea. Nitoe milioni yangu kununua fomu! si bora hiyo pesa nikanunue tofali 1,000 nipeleke site!
Well said. Hakuna mtu anayeomba uongozi akajiongoze mwenyewe, lazima awe na wafuasi. Mtu akitaka uongozi, na kama anaaminiwa, watu watamchagua tu hata kama hana pesa, na kama ni fomu atachangiwa.Mlitaka uraisi?Unafikiri hicho kikao cha kura zamaoni kitagharamikiwa na nani?Kama unakubalika nenda kwa wafuasi wako wakakuchangie sio unalalamika tu hapa.
Bandiko la kipuuzi lilojaa utoto kifkiraBarua ya wazi kwa katibu mkuu CCM,
• Mh Katibu Mkuu kuna tetesi juu ya fedha ya fomu ya nafasi ya ubunge na fedha ya mchango wa matumizi ya ofisi kwa wanaochukua fomu,
• Inasemekana fomu ni 100,000 (laki moja)= ya ubunge lakini kuna fedha ya matumizi ya ofisi 1,000,000=milion moja, jumla gharama zote(1100000) ni milion moja na laki moja,
Mh! katibu mkuu wa CCM tunaomba ufafanuzi juu ya fedha ya matumizi ya ofisi kwa wagombea mbalimbali hii ni kero sana, tunaomba hili chama cha mapinduzi kitoe ufafanuzi zaidi,
Asante;
Kwaio unataka kugombea ubunge na hauna nyumba?Hivyo watagombea mabilionea. Nitoe milioni yangu kununua fomu! si bora hiyo pesa nikanunue tofali 1,000 nipeleke site!
Mkuu mwenyewe nasikia amesema hazingatii kura zamaoni anaweza mchukuwa hata wamwishoHivyo watagombea mabilionea. Nitoe milioni yangu kununua fomu! si bora hiyo pesa nikanunue tofali 1,000 nipeleke site!
Nyumba iko under construction!Kwaio unataka kugombea ubunge na hauna nyumba?
Kuna utata mkubwa kuhusu gharama za fomu za kugombea uongozi ngazi ya ubunge na udiwani kupitia ccm.kila wilaya inauza fomu Bei yake ya ubunge na pia kila kata inauza fomu ya udiwani Bei yake. Tunaomba chama Kama chama kitoe maelekezo ya Bei elekezi ya fomu ya kugombea ubunge na udiwani kwa nchi nzima.makatibu wa ccm wilaya na kata wamefanya kipindi hiki kuwa kipindi Cha upigaji wa fedha.kupitia mauzo ya fomu.Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM,