Chibolo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 5,181
- 6,813
078289017 hiyo hapo yupo hewani mbipu tu atakupigiaTunaomba mwenye namba ya katibu aweke hapa tumpigie tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
078289017 hiyo hapo yupo hewani mbipu tu atakupigiaTunaomba mwenye namba ya katibu aweke hapa tumpigie tafadhali
Kuna utata mkubwa kuhusugharama as fomu za kugombea uongozi ngazi ya ubunge na udiwani kupitia ccm.kila wilaya unauza fomu Bei yake ya ubunge na pia kila kata unauza fomu ya udiwani Bei yake. Tunaomba chama Kama chama kitoe maelekezo ya Bei elejezi ya fomu ya kugombea ubunge na udiwani kwa nchi nzima.makatibu was ccm wilaya na kata wamefanya hiki kuwa kipindi chai Cha upigaji wa fedha.l kupitia mauzo ya fomu.Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM,
• Mh Katibu Mkuu kuna tetesi juu ya fedha ya fomu ya nafasi ya ubunge na fedha ya mchango wa matumizi ya ofisi kwa wanaochukua fomu,
• Inasemekana fomu ni 100,000 (laki moja)= ya ubunge lakini kuna fedha ya matumizi ya ofisi 1,000,000=milion moja, jumla gharama zote(1100000) ni milion moja na laki moja,
Mh! katibu mkuu wa CCM tunaomba ufafanuzi juu ya fedha ya matumizi ya ofisi kwa wagombea mbalimbali hii ni kero sana, tunaomba hili chama cha mapinduzi kitoe ufafanuzi zaidi,
Asante;