Uchaguzi 2020 Katibu mkuu CCM, toa ufafanuzi juu ya fedha ya fomu Ubunge na fedha ya matumizi ya ofisi

Kuna utata mkubwa kuhusugharama as fomu za kugombea uongozi ngazi ya ubunge na udiwani kupitia ccm.kila wilaya unauza fomu Bei yake ya ubunge na pia kila kata unauza fomu ya udiwani Bei yake. Tunaomba chama Kama chama kitoe maelekezo ya Bei elejezi ya fomu ya kugombea ubunge na udiwani kwa nchi nzima.makatibu was ccm wilaya na kata wamefanya hiki kuwa kipindi chai Cha upigaji wa fedha.l kupitia mauzo ya fomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…