Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Hahaha kweli Mkuu hawezi kusema maneno ya hovyo kiasi hicho Yanga ni timu kubwa sana!!.Kwa nafasi yake kama kiongozi amekosea sana na anaweza shtakiwa kwenye kamati za nidhamu ndani ya shirikisho la soka caf, tff au hata FIFA
HahahahaManeno ya mkosaji
Kwani huyu kiongozi ni Simba Mkuu?.Simba wanawashwa washwa sana na Yanga yani hawatulii kabisa
[emoji196][emoji196] WA HOVYO FOOTBALL CLUB[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.Mzee anawakebehi wale waliokula khamsa kule Congo na Misri! Ila kama kweli kasema hivyo atakuwa hana adabu!
Viti Maalum Fc!!.Alisikika mlevi mmoja hiviView attachment 1122828
Kwani huyu kiongozi ni Simba Mkuu?.
Mkuu hapana labda atakuwa kakumbuka hii historia[emoji16]Ndio hivyo Mkuu