Katibu Mkuu CECAFA - adai yanga si chochote kujitoa kwao hakutaathiri mashindano,hata wakishiriki wamezoea kubamizwa magoli mengi

Katibu Mkuu CECAFA - adai yanga si chochote kujitoa kwao hakutaathiri mashindano,hata wakishiriki wamezoea kubamizwa magoli mengi

Invigilator

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
3,203
Reaction score
5,997
"Yanga hawakushiriki michuano ya Kagame Cup msimu uliyopita pia kumbukeni wao sio Mabingwa wa Tanzania, hatutawamisi katika michuano hii acha wajitoe hatujali ikiwa watacheza ligi ya mabingwa barani Afrika msimu huu kawaida yao huko ni kufungwa magoli 5-0 au 6-0 isingetusaidia lolote kama wangeshiriki na hatuathiriki lolote kwa kujitoa kwao"

Nicholaus Musonye
-Katibu Mkuu wa CECAFA
20190609_172246.jpeg
 
Kwa nafasi yake kama kiongozi amekosea sana na anaweza shtakiwa kwenye kamati za nidhamu ndani ya shirikisho la soka caf, tff au hata FIFA
Hahaha kweli Mkuu hawezi kusema maneno ya hovyo kiasi hicho Yanga ni timu kubwa sana!!.
 
Back
Top Bottom