Katibu mkuu CHADEMA, Mnyika umetegwa ukitegeka nafasi yako wanachukua wenye chama chao

Masisiemu mmeshindwa kabisa. Mnatumbia mbinu za kumtisha John Mnyika mnadhani ataogopa?
John Mnyika ni mtu anayejitambua, anajua cheo ni dhamana, hakuna madaraka ya kudumu chini ya dua, hata uwe dikteta
 
Wewe utapungukiwa na nini akitenguliwa?
 
Kijana hodari na mchapakazi,na hakika atarudi nyumbani na atapewa teuzi kama shukrani kwake,wala asiwaze kipigwa chini na wafipa.
Naona kwenye utawala huu teuzi za nafasi za umma zimegeuka kuwa 'shukrani' kwa waunga juhudi na wanaomsifia 'bwana yule'.
 
Moja kati ya vijana shupavu, hodari na wanaojielewa na wasioyumbishwa mmoja wapo ni Mnyika, mulisafa sana kutaka kumnunua kwa dili nono sana mkaangukia pua.
Mnyika mbona anapata uteuzi muda si mrefu ndio mtakaposhangaa usiusemee moyo w mtu
 
Kajitu kapumbavu kameandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…