Katibu Mkuu CHADEMA tafadhali ahirisha uchaguzi mkuu mpaka hapo baadae kwakuwa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani

Namshauri katibu mkuu wa chadema ndugu john mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu ,kwa sababu Kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana lissu na heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa kauli zao wamevunja kanuni za uchaguzi ,tubaki na wagombea wawili tu
HAwadanganyiki
 
Polisi wapo watalinda amani mfanye uchaguzi wenu kwa amani msitoane ngeu
Jeshi la polisi lipo Ondoa shaka.Hakuna haja ya kuahirisha
 
Unatoa ushauri kwa kuwa unaona dhahiri mbowe ameshindwa kabla ya kura kupigwa. Ungeshauri mbowe ajitoe badala ya kuahirisha uchaguzi. Ushauri wa kilevi huu
 
Elewa chadema inatoa somo murua kwa vyama vingine navyo kufanya uchaguzi wa wazi, kweli na haki, sasa hizo fujo zitatoka wapi? Labda wahuni wa nje ya chama wakafanye fujo
 
Namshauri katibu mkuu wa chadema ndugu john mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu ,kwa sababu Kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana lissu na heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa kauli zao wamevunja kanuni za uchaguzi ,tubaki na wagombea wawili tu
Hujui Dunia
 
Elewa chadema inatoa somo murua kwa vyama vingine navyo kufanya uchaguzi wa wazi, kweli na haki, sasa hizo fujo zitatoka wapi? Labda wahuni wa nje ya chama wakafanye fujo
Fujo zipo na vikao vya sirini ni vingi
 
Unatoa ushauri kwa kuwa unaona dhahiri mbowe ameshindwa kabla ya kura kupigwa. Ungeshauri mbowe ajitoe badala ya kuahirisha uchaguzi. Ushauri wa kilevi huu
Hajashindwa kati
 
Back
Top Bottom