GE2025 Katibu mkuu chama Makini: Waandishi wa habari watafanyiwa semina Canada

GE2025 Katibu mkuu chama Makini: Waandishi wa habari watafanyiwa semina Canada

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Kituko hiki kimezungumzwa na mgombea mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini.

Haya ni matokeo ya kuachia masuala ya siasa mikononi mwa wajinga.

Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itawapeleka Waandishi wa Habari Canada kupata semina ili kuboresha kazi zao zaidi

​
 
Kituko hiki kimezungumzwa na mgombea mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini.

Haya ni matokeo ya kuachia masuala ya siasa mikononi mwa wajinga.
Uchaguzi wa kwanza toka kuanzishwa mfumo wa vyama vingi kuwa na wagombea vilaza.
 
Back
Top Bottom