PreGE2025 Katibu Mkuu CHAUMA: Tume imetufanyia haki, bila amani hakuna Ubwabwa wala uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Ukiwa hutaki kufuata Maadili wewe unataka kuchagua nchi, sisi CHAUMA tunasema jambo vla kwanza baada ya ubwabwa ni amani na huu ubwabwa kama hakuna amani hauliki"

Katibu Mkuu Chama Cha Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Massod Rashid ameyazungumza hayo jijini Dodoma wakati wa kikao cha kusaini Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Mwaka huu 2025.

View attachment 3303070
Hao ndiyo leve ya CCM inayowataka,hutakuja kusikia katemewa hata mate,na CCM wanatamani wa Tanzania wote wangekuwa hivyo
 
Wapuuzi kama hawa ndio wachawi wenyewe wanaotukwamisha wapendwa Demokrasia ya kweli. Viongozi wabinafsi wanaojali matumbo yao tu hawafai
 
"Ukiwa hutaki kufuata Maadili wewe unataka kuchagua nchi, sisi CHAUMA tunasema jambo vla kwanza baada ya ubwabwa ni amani na huu ubwabwa kama hakuna amani hauliki"

Katibu Mkuu Chama Cha Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Massod Rashid ameyazungumza hayo jijini Dodoma wakati wa kikao cha kusaini Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Mwaka huu 2025.
View attachment 3303070
Hii ni moja ya vyama pandikizi na vibaraka wa CCM. Hii ni njaa kali tu! Ni kimaslahi zaidi!!
 
Back
Top Bottom